Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kanali Mstaafu Kembo Campbell Mohadi, Mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya siku mbili ya Makamu wa Rais wa Zimbabwe hapa nchini. Katika siku ya […]