WANANCHI wa Magu wamemuonesha wazi Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuwa wanaifahamu vyema Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025/2030 baada ya kuielezea kwa ufasaha mbele yake. Akizungumza na mamia ya wananchi wa wilaya hiyo waliojitokeza kumpokea, Nchimbi aliwataka waelezee hotuba ya mgombea urais Samia Suluhu Hassan kuhusu Ilani hiyo, hususani […]