KKKT Usharika wa Forest Mbeya kwafukuta, gari la kwaya kuu latajwa
Waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Usharika wa Forest jijini Mbeya wamesema hawakubaliani na uamuzi wa kanisa hilo kufuta Kwaya Kuu na uongozi wakiahidi kesho kuingia kanisani kufunga muziki ili wafukuzwe.