Awali kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo jioni, ilidaiwa kuwa Mwenyekiti huyo wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha ) Kanda ya Kaskazini, ametekwa na watu wasiojulikana.