Ukichepuka unaacha kitu kile kile, unatafuta kile kile

Inakuwaje watu wawili waliopendana huamua kusalitiana wakijua wazi kuwa kufanya hivyo kunaweza kuwa na mwisho mbaya licha ya kuwaumiza wenzao?