Watu wasioitakia mema ndoa yako si lazima waonyeshe uovu wao waziwazi. Mara nyingi hujificha nyuma ya tabasamu, maneno ya busara, au hata msaada wa hapa na pale.