ZANZIBAR: MGOMBEA Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama cha NCCR- Mageuzi, Laila Rajab Khamis ametaja afya kuwa ni kipaumbe kikuu endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wao. Katika kutekeleza hilo, Laila amesema atawachukua vijana wa Zanzibar na kuwapeleka nje ya nchi kupata ujuzi zaidi ili kuwa na wataalamu wa … The post Kipaumbele kikuu ni afya first appeared on HabariLeo .