Aliyekuwa Spika wa Bunge la Ukraine, Andriy Parubiy ameuawa kwa kupigwa risasi katika Jiji la Magharibi la Lviv jana Jumamosi, kwa mujibu wa taarifa za Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu.