Taasisi za fedha zataja ushiriki matumizi nishati safi ya kupikia
Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) unalenga kuhakikisha wananchi wanapata suluhisho la nishati ya kupikia isiyo na madhara kwa afya, gharama nafuu na isiyo na madhara kwa mazingira.