Wapania kumpeleka Baba Levo bungeni

KIGOMA: NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Taifa Kilumbe Ng’enda amesema wamejiandaa kuhakikisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Chipando maarufu ‘Baba Levo’ anaingia bungeni katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 mwaka huu. Ng’enda amesema hayo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa chama hicho mkoani Kigoma alipowasili kwa mapumziko … The post Wapania kumpeleka Baba Levo bungeni first appeared on HabariLeo .