Jiji la Arusha kuanzisha Mahakama maalumu ya kodi

Mpango wa Jiji la Arusha katika kuongeza mapato ya ndani na kupunguza migogoro ya ukusanyaji wake, linatarajia kuanzisha Mahakama maalumu ya kuwashtaki wakwepaji na wakwamishaji ulipaji wa kodi na ushuru.