ONGEA NA ANTI BETTI: Hapa kuna ndoa au ananihadaa?

Nina uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu na tulipanga mwishoni mwa mwaka huu nikatoe barua kwao na taratibu nyingine ili mapema mwakani tufunge ndoa.