Dk Nchimbi aahidi neema Tarime, makundi ya ubunge yavunjwa

Wakati mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi akiwaahidi mambo mbalimbali wananchi wa Nyamongo, Wilaya ya Tarime, viongozi wa chama hicho wamevunja makundi yaliyotokana na ubunge wa Tarime Vijijini.