Ahadi za Samia kwa wananchi wa Chamwino

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kumaliza changamoto zote za huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino kwa kile alichoeleza kuwa "Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na changamoto zozote."