Wazazi wahimizwa kukamilisha chanjo ya polio kwa usalama wa watoto

Wazazi na walezi wamehimizwa kuzingatia umuhimu wa chanjo ya polio kwa watoto, ili kuwaepusha na madhara mbalimbali yakiwamo ulemavu wa kudumu.