CUF kuanza na rasimu ya Warioba, Katiba Inayopendekezwa
Mchakato wa kuandika Katiba mpya unaonekana kuwa moja ya turufu katika uchaguzi mkuu 2025 huku Chama cha Wananchi (CUF), kikiahidi kuanza na rasimu ya Jaji Joseph Warioba na Katiba Inayopendekezwa.