Mkoa wa Lindi umeweka dhamira ya kuhakikisha vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga vinapungua hadi kufikia tarakimu moja.