Serikali kutathimini upya hekta 5,600 Bukombe

BUKOMBE: SERIKALI imepanga kufanya tathimini mpya ya eneo la hekta 5,693.7 ambalo lilimegwa kutoka hifadhi ya Biharamulo-Kahama na kuwapa wananchi kwa ajili ya shughuli za binadamu ili kukidhi mahitaji yao. Hatua hiyo inakuja kufuatia kuibuka malalamiko mapya kutoka kwa wakazi wa kitongoji cha Idosero kijiji cha Nampalahala wilayani Bukombe wanaodai eneo walilopewa haliendani na mahitaji … The post Serikali kutathimini upya hekta 5,600 Bukombe first appeared on HabariLeo .