Watanzania washauriwa kuiamini CCM

TANGA: Watanzania wameshauri kuendelea kukiamini Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokana na dhamira yake ya kuendeleza kulinda na kiutunza Amani ya nchi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman wakati wa uzinduzi wa kampeni ngazi ya Mkoa wa Tanga iliyofanyika wilayani Mkinga. Amesema kuwa Rais samia amekuwa akifanya juhudi kubwa ya kuhakikisha anailinda … The post Watanzania washauriwa kuiamini CCM first appeared on HabariLeo .