Uwanja wa kisasa wakamilika Zanzibar

Moja ya ahadi muhimu katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu uboreshaji wa miundombinu ya michezo visiwani Zanzibar imetimia, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha michezo katika eneo la Kitopeni, Wilaya ya Kaskazini B, Unguja. Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya CCM, Katibu wa Siasa na … The post Uwanja wa kisasa wakamilika Zanzibar first appeared on HabariLeo .