DAR ES SALAAM: MGOMBEA Uraisi kupitia Chama cha Wananchi CUF, Gombo Samandito Gombo ameahidi kuwa endapo Watanzania watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha kuwa watumishi wa serikali wanatapatiwa barua ya ajira itakayoambatana na hati ya kiwanja pamoja na usafiri (gari). Gombo amesema hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na Daily … The post Aahidi kiwanja, gari kwa watumishi wa serikali akiwa rais first appeared on HabariLeo .