VIJANA wanaotamani kushiriki katika shindano la kutafuta wapenzi lijulikanalo kama Hello Mr. Right wametakiwa kuzungumza na wazazi wao mapema kabla ya kujiandikisha, ili kuhakikisha wanashiriki kwa uwazi na uhalali wa kijamii na kifamilia. Akizungumza kuhusu msimu mpya wa shindano hilo, Godfrey Lugalabamu maarufu kama Mc Gara B, amesema Hello Mr. Right msimu wa saba utakuwa … The post Watakiwa kujadiliana na wazazi kujiunga Mr Right first appeared on HabariLeo .