CCM yaahidi kilimo cha kisasa, skimu za umwagiliaji

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeahidi kuanzisha mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa katika eneo la Pahi lililopo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.