Mikataba hewa, marejesho yawatesa bodaboda

Waendesha pikipiki ‘bodaboda’ jijini Mbeya wamesema ili kupunguza wimbi la ajali za mara kwa mara barabarani ni kuwapo mikataba rasmi na mikopo isiyoumiza.