Wastaafu CCM wampigia chapuo Samia, urais 2025

Viongozi wastaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali wamemwelezea mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, kama chaguo bora katika nafasi hiyo, huku wakiwataka wananchi kwenda kumpigia kura, ili aendelee kuliongoza taifa.