Profesa Lipumba: Tumemleta mshindani thabiti kutoka CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho kimemteua mgombea urais thabiti ambaye ni kiboko na atakitetemesha Chama cha Mapinduzi (CCM).