Tabia yake ya kujibu jumbe za wananchi kwenye mitandao ya kijamii inamfanya kuwa miongoni mwa viongozi wachache wanaoonekana na kukubalika zaidi mitandaoni.