‘Utapeli ni tishio la ukuaji wa huduma za kifedha kimtandao’
Imeelezwa kuwa kadri huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali zinavyokuwa, ndiyo utapeli na ulaghai unavyozidi kuongezeka katika eneo hilo ambalo limebadilisha mambo mengi kwa namna chanya na kurahisisha maisha ma biashara za watu.