Wakati sekta ya utalii nchini Tanzania ikiendelea kuwa kinara katika uingizaji wa fedha za kigeni, wadau na wafanyabiashara wanaohusika kwenye sekta hiyo wamehakikishiwa ushirikiano ili kuendelea kukua kwa kasi.