Taharuki Kariakoo, moto ukiteketeza duka moja kati ya 100

Wafanyabiashara wa Kariakoo leo wamekumbwa na taharuki baada ya moto kuzuka katika jengo moja lililopo katika makutano ya mitaa ya Aggrey na Sikukuu na kuharibu chumba kimoja cha duka kati ya vyumba 100 vilivyopo katika jengo hilo.