Wasira awataka wanachama CCM kuacha makundi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kuacha makundi yaliyotokana na mchakato wa ndani wa chama wa kura za maoni kuwapata wagombea wa ubunge na udiwani.