CUF yataja mwarobaini wa wizi mali za umma

Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua rasmi kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku kikisema, wezi wote wa mali za umma hawatafungwa jela isipokiwa watatakiwa kurejesha mali.