CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeahidi kulipa watumishi wa umma kima cha chini mshahara Sh 800,000 baada ya makato ya kisheria. Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Salum Mwalimu akiwa na mgombea mwenza, Devotha Minja alisema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Biafra mkoani Dar es Salaam … The post Chaumma yaahidi mshahara 800,000, mchele kilo Sh 500 first appeared on HabariLeo .