Wagombea udiwani 124 CCM wakosa upinzani Arusha

ARUSHA; MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkoa wa Arusha, Apolinary Seiya amesema wagombea wa udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata 124 kwenye mkoa huo hawana wapinzani. Seiya amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepitisha wagombea udiwani katika kata zote 160 za Mkoa wa Arusha. Alisema mkoa huo una majimbo saba ya uchaguzi na … The post Wagombea udiwani 124 CCM wakosa upinzani Arusha first appeared on HabariLeo .