Wasira akemea makundi CCM

ARUSHA; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameagiza wanachama wa chama hicho wavunje makundi ya wakati wa mchakato wa kupata wagombea ubunge na udiwani. Wasira alisema hayo wakati wa mkutano na wanachama cha chama hicho wakiwemo viongozi wa chama hicho jijini Arusha. Wasira alihimiza wana CCM kutafuta kura na kuhamasisha … The post Wasira akemea makundi CCM first appeared on HabariLeo .