Waandishi wa habari wapigwa msasa matumizi ya takwimu

DAR ES SALAAM; CHUO cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kimewataka waandishi wa habari kutumia takwimu sahihi katika kazi zao, ili kuboresha utoaji wa taarifa na kuondoa upotoshaji unaojitokeza mara kwa mara katika jamii. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Chuo hicho, Prof. Ahmed Mohammed Ame, alitoa rai hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku moja … The post Waandishi wa habari wapigwa msasa matumizi ya takwimu first appeared on HabariLeo .