SMZ yapongezwa uwekezaji sekta ya afya

KIZIMKAZI, ZANZIBAR: WAKAZI wa Kizimkazi Mkunguni wameeleza furaha na fahari yao kufuatia upatikanaji wa huduma bora za afya kupitia Kituo cha Afya kilichojengwa kwa viwango vya kisasa na chenye hadhi ya hospitali, kinachotoa huduma zote bure kwa wananchi. Kituo hicho kilizinduliwa rasmi Januari 3, 2025 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho … The post SMZ yapongezwa uwekezaji sekta ya afya first appeared on HabariLeo .