GEITA; MBIO za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 zimeingia rasmi mkoani Geita zikikitokea mkoani Mwanza Septemba 01, 2025, na ukiwa mkoani Geita Mwenge huo utakimbizwa kwenye wilaya tano za mkoa huo hadi Septemba 07, 2025. Akizungumza mara baada ya kupokea Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella alisema mwenge wa Uhuru ukiwa … The post Mwenge wa Uhuru wawasili Geita first appeared on HabariLeo .