PEMBA : TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi ya kisasa karibu na Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba. The post Utoro wa madaktari Pemba wapungua first appeared on HabariLeo .