Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, ameondolewa rasmi katika benchi la ufundi la klabu ya Ujerumani Bayer Leverkusen baada ya kusimama katika michezo miwili pekee ya Bundesliga. Ten Hag (55), alijiunga na Leverkusen msimu huu wa kiangazi mara baada ya kufutwa kazi na United mwezi Oktoba mwaka jana, akitarajiwa kuanza upya maisha […]