Dk Nchimbi: Matiko ni silaha madhubuti kisiasa

MARA; MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kimepata silaha madhubuti ya kisiasa kwa kumpata Esther Matiko kugombea ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, kutokana na uzoefu wake na uwezo mkubwa wa kujenga hoja bungeni. Akihutubia mkutano wa hadhara juzi jioni katika Chuo cha Ualimu Buhemba, … The post Dk Nchimbi: Matiko ni silaha madhubuti kisiasa first appeared on HabariLeo .