ARUSHA; Katika kuboresha utendaji kazi na usimamizi wa masuala ya mipangomiji nchini, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia idara ya Maendeleo ya Makazi, inaendesha kikao kazi kwa maofisa mipangomiji wa mikoa ili kutekeleza majukumu yao kwa weledi. Kikao hicho cha siku tatu kinachofanyika mkoani Arusha kuanzia Sept mosi, .2025 na kinatumika kukumbushana … The post Mipangomiji wafundwa kutekeleza majukumu kwa weledi first appeared on HabariLeo .