Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.