Mpango asema Tanzania iko tayari kwa Uchaguzi Mkuu

MADAGASCAR : MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya Uchaguzi Mkuu wa haki, uhuru na uwazi yanaendelea vizuri nchini na kutoa mwaliko kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. The post Mpango asema Tanzania iko tayari kwa Uchaguzi Mkuu first appeared on HabariLeo .