DODOMA; CHAMA cha Wafugaji Tanzania kimeahidi kutiki kwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu na kubainisha sababu za kufanya hivyo ikiwemo kuimarisha utulivu kati ya wafugaji na wakulima. Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji, Murida Mshota alisema Rais Samia ametatua mgogoro wa ardhi … The post Wafugaji wamuahidi raha Dk Samia first appeared on HabariLeo .