Kiungo mshambuliaji kutoka Zambia, Clatous Chama, amemalizana na klabu ya Singida Black Stars baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2025/26. Chama, ambaye msimu uliopita (2024/25) alikuwemo kwenye kikosi cha Yanga SC, alikuwa huru baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika. Nyota huyo awali alijiunga na Yanga akitokea […]