WAHITIMU 50 waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi kwenye matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2025 wamechaguliwa kupata ufadhili wa Samia Scholarship Extended, kusomea programu za Akili Unde, Sayansi ya Data na Sayansi zingine Shirikishi katika vyuo vikuu mahiri duniani. Taarifa hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi …