TANGA; Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman amewaasa wagombea nafasi za ubunge na udiwani mkoani humo kuacha majivuno badala yake wajikite kueleza sera na vipaumbele vyao vya kuwahudumia wananchi . Rai hiyo ameitoa leo wakati wa Ufunguzi wa kikao cha kamati ZA kampeni ngazi za kata ,Wilaya na mkoa kilichofanyika … The post Wagombea CCM watakiwa wasivimbe vichwa first appeared on HabariLeo .