Waandishi watakiwa kupata taarifa sahihi Uchaguzi Mkuu 2025

ARUSHA : WAANDISHI wa habari wametakiwa kutumia kalamu vizuri katika kipindi cha uchaguzi ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa kwa vyanzo vya uhakika na kujiepusha na taarifa za upendeleo, uchonganishi na uchochezi. The post Waandishi watakiwa kupata taarifa sahihi Uchaguzi Mkuu 2025 first appeared on HabariLeo .