Mgombea urais CUF atangaza vita wezi mali za umma

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amesema iwapo atachaguliwa serikali yake itakuwa na msimamo mkali dhidi ya wezi wa mali za umma. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Daily News Digital na kueleza kuwa katika kukomesha wizi wa mali za umma atahakikisha hakutakuwa na mchakato mrefu wa uchunguzi … The post Mgombea urais CUF atangaza vita wezi mali za umma first appeared on HabariLeo .